31 Januari 2013 - 20:30

utawala wa ghasibu wa Israel umeanza kusogeza majeshi yake mpakani Siria ikisubiri malipo ya uchozi wao

utawala huo ghasibu umeamua kusogeza vikosi vyake mpakani mwa Siria baada ya kupata hofu kubwaya kuwepo uwezekano wa majeshi ya Siria kuvamia Israel.hayo yamejiri baada ya jeshi la Israel kushambulia kwa ndege za kivita kitengo cha utafiti wa mambo ya kijeshi huko  Damaskas Siria.   Serikali ya Siria ilifikisha malalamiko yake kwa umoja wa mataifa na kuahidi kuwa watoa machibu yakushangaza dhidi ya  uchokozi wa utawala ghasibu wa Israel, jambo lililo pelekea wananchi na viongozi wa Israel kukosa amani.yafaa kuashiria kwamba uvamizi wa Israel kwa Siria ni kinyume cha kanuni za umoja wa mataifa.